UKATILI:MTOTO WA MIAKA 5 ACHOMWA MOTO KWENYE KIGANJA CHA MKONO NA BABA YAKE MZAZI KISA SAMAKI.
jambo lakuhuzunisha na kusikitisha ukatili huu umepitiliza mtoto wa miaka mitano achomwa moto kwenye kiganja cha mkono na baba yake mzazi kisa samaki. tukio la kikatili limetokea beira mozambique tarehe 29,5,2016 baada ya baba mmoja kumchoma moto kwenye kiganja cha mkono wa kushoto kwa moto kwa madai kua aliiba samaki ambaye alimleta nyumbani kwa ajili ya mboga. mtoto afunguka kua baba yake huo amekua akimlaza njaa bila kula chochote kwa siku 3 amefanya hivyo sabu alikua ana njaa akaamua kumla huyo samaki. ndipo baba akaamua kuchukua kipande cha mkaa chenye moto nakumuambia achike na kumuumnuza vibaya katika kikanja chake. hivi sasa baba anashikiliwa na jeshi la polisi.