Mensagens

A mostrar mensagens de 2015

ALBINO WATATU WAUWAWA KIKATILI NA KUKATWA VIUNGO NAMPULA MOZAMBIQUE.

Imagem
tukio la aina yake imetokea hivi karibu nchini mozambique mkoa wa nampula wilaya ya namialo baada ya albino watatu kukutwa porini wakiwa wamekufa na viungo vyao kukatwa huu unyama utaisha lini serikali iko wapi? maisha yao ni ya hofu lini watakua na uhuru kama wengine tupambane kwa pamoja kupinga ukatili.

UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA......BABA YAKE KIM KARDASHIAN AJIBADILI JINSIA NA KUA MWANAMKE HABARI KAMILI FUNGUA HAPA.

Imagem
dunia inafika ukingoni ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni baba yake mzazi na km kardashin ajitokeza hadhari akiwa na maumbile tofauti yani ya kike. kwa jina anaitwa bruce jenner ana watoto 5 akiwemo khole kardshian wiki kadhaa nyuma alitangaza nia yake yakujibadilisha jinsia ili awe mwanamke katika kardashians show.ajitokeza hadharini akiwa mwanamke kabisa katika gazeti la vanity fair nakudai kua anataka aitwe caityn.

HAWA NDO WAIGIZAJI WA FILAMU WENYE MPUNGA MREFU DUNIANI AMBAO UKIWAONA HAUTAAMINI ILA WANASHIKILIA REKODI.

Imagem
  kwa jina anaitwa jerry seinfeld yeye ni mwandishi,muigizaji na mchekeshaji anaishi.  america ana watoto watatu wanaume 2,mwanamke 1 anashikilia rekodi ya duniani kua wa kwanza nwenye utajiri mkubwa kupita wasanii wote wa hollywood na bollywood anakadiriwa utajiri wake kufika dollar 820 millioni.  kwa jina anaitwa shahrukh khan asili yake ni india yani mwindi ana miaka 43 yeye ni muigizaji,mchekeshaji na mwandishi ana watoto 2. khan ni tajiri namba 2 duniani kwa waigizaji wote wa filamu bollywood na hollywood anashikilia utajiri unao fika dollar 600 million. nadhani utakua umewajua waigizaji wenye mpunga mrefu,wale wote maarufu kama silvestar stallone,anold shwaznigger, freeman, tom cruise, tupa kuleee.

KISIWA CHENYE NYOKA WENGI WENYE SUMU KALI DUNIANI KILICHOPO SAO PAOLO BRAZIL HAKUNA BINADAMU ANAEISHI.

Imagem
                                                                                                                                                            kisiwa kinacho julikana kama snake island kilichopo sao paolo brazil ambacho hakuna kiumbe kingine kinacho ishi zaidi ya nyoka hao wanajulikanao kama gray viper wanasifikana kua na sumu kali inayo weza kumuondoa  mtu kwa dakika 1 moja kwanza unapalalaizi kisha unatoka damu mfulilizo kwenye kidonda chako kisha kufa. kila hatua moja au mbili ni nyoka mbele yako imekua tishio kubwa kwani wanamaliza ndege na viumbe vidogo w...

NGOJA NIKUDOKEZE SEHEMU YENYE BARIDI SANA DUNIANI KOTE AMBAYO INA WAKAZI 5OO TU OYMYAKON RUSSIA.

Imagem
eebhanaee mungu anatisha lazima tumkubali na tumuabudu kwa heshima zote, nimeamua nikudokeze wengi mtakua hamjui basi mji huitwao oymyakon russia inaongoza kwa baridi duniani kote ina wakazi 500 tu joto linashuka hadi nyuzi -47 calsius au nyuzi -53 fahrenheit yani ni miujiza kuishi binadamu kwa baridi lake. wakazi huwa hawalimi sabu mazao hayaoti, vyoo wanatumia vya nje ndani nafasi hakuna, wanaishi kwa kula nyama na samaki tu, baridi likizidi sanaa hatoki mtu nje na watoto hawaendi shule, gari lizipo hifadhiwa kwenye joto oil inaganda,mji mzima ni barafu watu 10 hufariki kwa kila mwezi sabu ya baridi. maji hutumia barafu za nje wanachemsha kunywa na kuoga.

HII MOVIE MPYAA MAD MAX FURY ROAD SI YA KUIKOSA MAZEE NI FULL ACTION MWANZO MWISHO CHINI YA DIRECTOR GEORGE MILLER.

Imagem
hii movie ni mpyaa  mad max fury road imetoka 15/5/2015 si ya kuikosa mazee itafute madukani ni full action mwanzo mwisho chini ya director george miller.

KAMA UNAFIKIRIA KUONGOZA MAKALIO NAKUSHAURI ACHA KABISA HAYA NDO MADHARA YAKE ULEMAVU AU KUFA .

Imagem
sikatai urembo ni jambo zuri kwa wakina dada ila inategemea unataka urembo wa aina gani kabla ujaamua fikiria madhara. dada zetu wengi duniani wanapenda kuongeza makalio yao ni moja ya urembo wanao penda sanaa lakini wamekua wakiteseka kwa magonjwa kama kansa au kutoboka mashimo wanapo jaziwa hospitalini madhara ujitokeza mapema au baadae ila wataalamu wanasema yakitokea huwa ni kifo au ulemavu wa maisha. kama ufikiria kuongeza makalio nakushauri acha futa kabisa kichwani mwako lizika jinsi ulivyo, iwe kwa cream,vidonge au upasuaji zote zinamadhara.