KAMA UNAFIKIRIA KUONGOZA MAKALIO NAKUSHAURI ACHA KABISA HAYA NDO MADHARA YAKE ULEMAVU AU KUFA .
sikatai urembo ni jambo zuri kwa wakina dada ila inategemea unataka urembo wa aina gani kabla ujaamua fikiria madhara. dada zetu wengi duniani wanapenda kuongeza makalio yao ni moja ya urembo wanao penda sanaa lakini wamekua wakiteseka kwa magonjwa kama kansa au kutoboka mashimo wanapo jaziwa hospitalini madhara ujitokeza mapema au baadae ila wataalamu wanasema yakitokea huwa ni kifo au ulemavu wa maisha. kama ufikiria kuongeza makalio nakushauri acha futa kabisa kichwani mwako lizika jinsi ulivyo, iwe kwa cream,vidonge au upasuaji zote zinamadhara.
Comentários
Enviar um comentário