NGOJA NIKUDOKEZE SEHEMU YENYE BARIDI SANA DUNIANI KOTE AMBAYO INA WAKAZI 5OO TU OYMYAKON RUSSIA.
eebhanaee mungu anatisha lazima tumkubali na tumuabudu kwa heshima zote, nimeamua nikudokeze wengi mtakua hamjui basi mji huitwao oymyakon russia inaongoza kwa baridi duniani kote ina wakazi 500 tu joto linashuka hadi nyuzi -47 calsius au nyuzi -53 fahrenheit yani ni miujiza kuishi binadamu kwa baridi lake. wakazi huwa hawalimi sabu mazao hayaoti, vyoo wanatumia vya nje ndani nafasi hakuna, wanaishi kwa kula nyama na samaki tu, baridi likizidi sanaa hatoki mtu nje na watoto hawaendi shule, gari lizipo hifadhiwa kwenye joto oil inaganda,mji mzima ni barafu watu 10 hufariki kwa kila mwezi sabu ya baridi. maji hutumia barafu za nje wanachemsha kunywa na kuoga.
Comentários
Enviar um comentário