ALBINO WATATU WAUWAWA KIKATILI NA KUKATWA VIUNGO NAMPULA MOZAMBIQUE.
tukio la aina yake imetokea hivi karibu nchini mozambique mkoa wa nampula wilaya ya namialo baada ya albino watatu kukutwa porini wakiwa wamekufa na viungo vyao kukatwa huu unyama utaisha lini serikali iko wapi? maisha yao ni ya hofu lini watakua na uhuru kama wengine tupambane kwa pamoja kupinga ukatili.
Comentários
Enviar um comentário