HAWA NDO WAIGIZAJI WA FILAMU WENYE MPUNGA MREFU DUNIANI AMBAO UKIWAONA HAUTAAMINI ILA WANASHIKILIA REKODI.

  kwa jina anaitwa jerry seinfeld yeye ni mwandishi,muigizaji na mchekeshaji anaishi.
 america ana watoto watatu wanaume 2,mwanamke 1 anashikilia rekodi ya duniani kua wa kwanza nwenye utajiri mkubwa kupita wasanii wote wa hollywood na bollywood anakadiriwa utajiri wake kufika dollar 820 millioni.


 kwa jina anaitwa shahrukh khan asili yake ni india yani mwindi ana miaka 43 yeye ni muigizaji,mchekeshaji na mwandishi ana watoto 2. khan ni tajiri namba 2 duniani kwa waigizaji wote wa filamu bollywood na hollywood anashikilia utajiri unao fika dollar 600 million.

nadhani utakua umewajua waigizaji wenye mpunga mrefu,wale wote maarufu kama silvestar stallone,anold shwaznigger, freeman, tom cruise, tupa kuleee.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+