HILI NI KABILA LA AJABU DUNIANI LENYE DESTURI YA KUKATA VIDOLE KILA WAKIFIWA NA NDUGU ZAO.

 dunia haishiwi vituko jamani duuh hili ni kabila la dani linapatikana nchini new papua guinea ambalo lina desturi la kukata kidole kwa kifaa maarumu kila wanapo fiwa na ndugu zao. kila mwanafamilia huchangia kidole kimoja kwa kukata kisha huchomwa moto na kuhifidhiwa sehemu kama kumbukumbu. je unajua wanao kata vidole? wanawake hukata vidole vyao kuhashilia upendo kwa marehemu.kwao sio tatizo hata vidole vikiisha mikononi mwanao kwani ndo desturi yao.



 wanaume huvaa kipande cha mti kwenye sehemu zao za siri maarufu kama kotekas kila wanapo fiwa na ndugu muhimu kwao. kabila hili linahusishwa kula nyama za watu kama kitoweo.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+