DUNIA YAFIKA MWISHO KIJANA WA MIAKA 20 AMBAKA MAMA YAKE NA KUMJELUI VIBAYA MAPUTO.
kijana victor wa miaka 20 ambaka mama yake mzazi akiwa chumbani alipo toka bafuni kuoga aliingia na kuunza kumshugulikia majirani walisikia kelele za mama huyo akiomba msahada walipo fika walimkuta victor yupo uchi kitandani na mama akiwa amelowa damu mwili mzima. mama alipelekwa hospitali na kijana kufikishwa polisi huku akitembezwa uchi mtaani kote. "watu walimuambia mama kua mwanae nimvuta bangi na mla unga na pia mwizi lakini hakuamini naona sasa ameamini" asema shuhuda.
Majangaa duuh laana hiyo
ResponderEliminar