NJIA RAHISI NA SALAMA KUONDOA BLACKHEADS KWENYE USO WAKO UKIWA NYUMBANI BILA KEMIKALI.
wengi mtakua mnajiuliza blackheads ni nini? ki ufupi ni vidoti vyeusi ambavyo hutokea usoni mara nyigi huwa puani husababishwa na mafuta mengi mwilini na deadcells ambao hufa na kutokea kwenye matudu ya nywele. wasipo tolewa kwa wakati husababisha muwasho na chunusi. kutibu au kuondoa kabisa tumia bidhaa hizo za asili bila kemikali kila siku mpaka utakapo ona wamekwisha kabisa na ngozi yako itakua laini na nyororo.