KISIWA CHENYE NYOKA WENGI WENYE SUMU KALI DUNIANI KILICHOPO SAO PAOLO BRAZIL HAKUNA BINADAMU ANAEISHI.
kisiwa kinacho julikana kama snake island kilichopo sao paolo brazil ambacho hakuna kiumbe kingine kinacho ishi zaidi ya nyoka hao wanajulikanao kama gray viper wanasifikana kua na sumu kali inayo weza kumuondoa mtu kwa dakika 1 moja kwanza unapalalaizi kisha unatoka damu mfulilizo kwenye kidonda chako kisha kufa. kila hatua moja au mbili ni nyoka mbele yako imekua tishio kubwa kwani wanamaliza ndege na viumbe vidogo w...