MWANAMKE HUYU AMELIPA US 20 MIL ILI AWEKEWE TITI LA TATU KWA LENGO ASIVUTIE KWA WANAUME.
jasmine tridevil miaka 21 anfanya kazi katika kituo kidogo cha television ametumia dola us 20 mil kufanya surgery ya kuweka titi la tatu la ziada.
ilikua kazi ngumu kwa jasmine mpaka kufanikisha alianza kutunza pesa kwa miaka miwili ili aweze kulipa hiyo surgery alijibana sana mda mwingine alilala na njaa ili abane matumizi.
jasmine alipo ulizwa katika kituo cha radio kwa nini umeamua kufanya hivyo alijibu kua amechoka kuvutia kwa wanaume sitaki tena wanaume. jasmine anaamini kua titi lake la tatu litawaogopesha wanaume.
Comentários
Enviar um comentário