EXCLUSIVE-UKATILI KIJANA AKIRI KUUA WANAWAKE 42 NCHINI BRAZIL AKAMATWA LEO NA HICHI NDICHO ALICHOZUNGUMZA HADHARANI.
tukio la aina yake nimewaletea leo huyu jamaa ni mbrazil anashikiliwana polisi kwa kosa la kuua wanawake 42 akiwemo na mtoto 1 wa miezi 8 alipokua anahojiwa na vyombo vya habari alisema kua ajutii kwenda jela kwa miaka 20,30,50 kwani akiachiwa huru ataendelea kuua. aliaanza kuua akiwa na miaka 17 wanawake wote alio wauua ni wazungu akuta kuua weusi anasema kukaa siku 2 bila kuua mtu awezi kwani alishazoea alipo ulizwa kwanini anaua hadi watoto alisema Anafanya hivyo kuzuia kelele ninapo ingia nyumba ya mtu kuua hua nahakakisha kama kuna watoto kama wapo basi naua kuzuia makelele.
anasema inanichukua wiki kumvamia mtu nakumuua kwanza naanza kuchunguza nyumba yake,pili mazingira ndipo nafika usiku kuua nikiwa nimevaa nguo nyeusi,gloves, na mewani nisijulikane natumia kisu,nyundo, au panga kuua.
nikishikwa na hamu sana ya kuua sisubiri mpaka niingie nyumba ya mtu niue mi napita mitaani nikikutana na mwanamke wowote wakizungu naua furaha yangu mpaka niue mtu.
BRAZIL inakadiri kua na ongezeko kubwa la kupotea watu kwa siku wanapotea watu kufikia 550 haijukalini mpaka sasa wanakua wapi wanatekwa au wanauliwa mara nyingi inakua awapatikani tena.
MI NAOMBA HUYO JAMAA HAUKUMIWE KUNYONGWA!!!!!
Comentários
Enviar um comentário