UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YAAA....MTHAILAND MWENYE UWEZO WAKUKAANGA KUKU KWA MIKONO.





EEHH watu na vipaji bwaaanaa huyu kwa jina naitwa kann trichna ni mthailand ana miaka 50 ni mfanya biashara anamiliki mgahawa katika mtaa wa chiang mai jina lake la utani alilopewa ni super hands kutokana na uwezo wake wakukaanga kuku kwa mikono mafuta yakiwa ya moto.

anauwezo wakipekee wakuweka mikono yake kwenye mafuta ya moto yanayo fikia nyuzi 480 bila kuungua mikono yake hiyo ya ajabu yanao washangaza wengi amepata sifa nyingi kitaifa na kimatifa.

yeye na mkewe wamesafiri nchi nyingi kuonesha umahili wake huo. kann alijikugundua uwezo wake huo miaka saba iliyo pita alipo ungua mwili mzima na moto baada ya nguchiro kuangusha tunda kwenye sunia la moto nakumsababishia kuungusa kwake lakini alipo pelekwa kwao siku ya pili kann alipo jiangalia kwenye kioo hakuona jeraha lolote kwaiyo akaamua arudi mgahawani kuendelea na kazi.
.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+