EEEH HATAARIIIII POLISI WA KIKE WAKI SOUTH AFRICA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HONG KONG CHINA.






 haaaataaaarriiiii habari ya aina yake imenifikia hivi punde wana habari wenzangu walioko china kunitumia leo.  msauzi africa mwingine akamatwa na madawa ya kulevya huko hong kong china safari hii ni durban polisi sergeant busisiwe zungu 36 amekamatwa hong kong airport wiki mbili zilizo pita alikua ameficha madawa kilo 2 ndani ya rasta zake.

Comentários

Mensagens populares deste blogue

LAANA- JAMAA AVUJISHA PICHA FACEBOOK ZA UCHI ZA MPENZI WAKE MWANAFUNZI WA CHUO CHA UTALII BAADA YA KUTOSWA 18+