MUIMBAJI ADELE LAURIE BLUE NI MWANAMKE TAJIRI UINGEREZA ANASHIKILIA REKODI YA MAUZO BORA YA ALBUM ZAKE 2.
muimbaji maarufu dunani kutokea uingereza anaevuma kwa kasi, mwenye single yake HELLO namzungumzia adele laurie blue ambaye music alianza karibuni na hivi sasa anashikilia rekodi ya mwanamke tajiri wa kwanza muimbaji uingereza na pia amevunja rekodi ya dunia guinness kwa mauzo ya album zake 2 kufikia 31billioni ndani ya siku 3 tu. adele ni mama mwenye mtoto 1 na ameolewa na mpenzi wake wa mda mrefu.