EEEH MAKUBWAAA INDIA KWA VITUKO KUNAONGOZA MWINDI KAILASH AKAA ZAIDI YA MIAKA 37 BILA KUOGA MAJI.
heheeeee unaweza kusema utani vileee india kwa vitukoo aiseee kunaongoza ukistaajabu ya musa utaona ya filauni mwindi kailash singh mwenye miaka 85 ameishi zaidi ya miaka 37 bila kuoga maji. mwanzo alijiwekea ahadi kua akioa na kupata mtoto wa kiume bhasi atakaa miaka mingi bila kuoga na kweli mwaka 1974 alioa na kupata mmoja wa wakiume. kuanzia mwaka 1974 hadi leo ni miaka 41 kailash ajaoga maji imefikia hatua hata ndugu, watoto,wajukuu,majirani na hata mkewe kumtenga kutokana na harufu kali inayo toka mwilini kwani ni zaidi ya dampo la taka au mnyama asema mkewe..